Home Blog/Event Details
05 Jan 2026 By Admin

ONLINE COURSES (MAFUNZO KWA NJIA YA MASAFA)

Kuanzia tarehe 05/01/2026; Tutaanza rasmi kutoa Mafunzo kwa njia ya masafa marefu (Online Courses) Hivyo tunapenda kuwajulisha kuwa dirisha la usajili limefunguliwa rasmi kwa wale wote wenye uhitaji wa kupata ujuzi wawapo kazini ama nyumbani. Tunawakaribisha sana wote katika chuo cha Ufundi Stadi TTTC.